DMG Yakabidhi Rasmi Kivuko cha MV Tanga Kwa Serikali
Leo 14/12/2022 Kampuni ya Dar es Salaam Merchant Group imekabidhi rasmi kivuko cha MV Tanga baada ya kukamilisha ukarabati mkubwa uliodumu kwa miezi 4. Hafla ya makabidhiano ya kivuko hiko imefanyika katika wilaya ya Pangani na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, akiwamo Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Omary Mgumba, mkuu wa wilaya ya … Read more